SmartErp
  • Home
  • About Us
  • Modules
    • Sales & Purchases
    • Inventory
    • Accounting
    • HR & Payroll
    • CRM
    • Fixed Assets
    • Job Card
    • Projects Tracking
    • Contract Management
    • Support
  • SmartERP POS(VFD)
  • Archives
  • Contact us
0
  • No products in the cart.
VAT E-Filing System Introduction for Tanzanian Businesses

Feb 07, 2022
  • Post by admin
  • Legal & Compliance

VAT E-Filing System Introduction for Tanzanian Businesses

The introduction of VAT E-Filing system marks a new milestone for Tanzanian businesses, as the government continues embracing technology in Tanzania.

TRA now wishes to inform Value Added Tax registered traders that it has upgraded its electronic system of filing VAT returns. This will improve the process of filing VAT returns making it simple for taxpayers.

The upgraded VAT E-Filing system shall be rolled out effectively from 1st March 2022.ย This will become operational for VAT returns of the month of March 2022 that are due for submission on or before 20th April 2022.

Visit https://www.tra.go.tz for more info.

Connect with out SmartERP Platform team to learn how our ERP software can help you easily file your returns using the E-Filing system!

Feel free to visit our website at https://smarterpplatform.com. To book a live free demo, reach out to us on [email protected] or call us at +255 744 625 999.

Click here to download E-Filing System by TRA.

 

Mfumo Mpya wa Kuhifadhi VAT E-Filing

Kuanzishwa kwa mfumo wa VAT E-Filing ni hatua mpya kwa wafanyabiashara wa Tanzania, huku serikali ikiendelea kutekeleza teknolojia nchini Tanzania.

TRA sasa inapenda kutaarifu wafanyabiashara waliosajiliwa na VAT kwamba imeboresha mfumo wake wa kielektroniki wa kujaza marejesho ya VAT ili kuboresha taratibu za uwasilishaji na kurahisisha kwa walipakodi.

Mfumo huu wa VAT E-Filing utaanza kutumika kuanzia tarehe 1 Machi 2022. Hii itaanza kufanya kazi kwa marejesho ya VAT ya mwezi wa Machi 2022 ambayo yanastahili kuwasilishwa siku au kabla ya tarehe 20 Aprili 2022.

Tembelea https://www.tra.go.tz kwa maelezo zaidi.

Ungana na timu ya SmartERP Platform ilitukuelezee jinsi ERP yetu inaweza kukusaidia kuwasilisha kwa urahisi marejesho yako kwa kutumia mfumo wa E-Filing!

Unaweza kutembelea tovuti yetu kwa https://smarterpplatform.com. Kuona mfumo huu wa ERP, wasiliana nasi kupitia [email protected] au piga simu kwa +255 744 625 999.

Bofya hapa kupakua maelekezo kutoka TRA.

Post navigation

Pre post
Next post

Archives

  • June 2022
  • February 2022
  • November 2021
  • July 2021
  • June 2021
  • November 2020
  • August 2020

Categories

  • Legal & Compliance
Product of Imatic Technologies Limited © All Rights Reserved.
WhatsApp us
SmartErpLogo Header Menu
  • Home
  • About Us
  • Modules
    • Sales & Purchases
    • Inventory
    • Accounting
    • HR & Payroll
    • CRM
    • Fixed Assets
    • Job Card
    • Projects Tracking
    • Contract Management
    • Support
  • SmartERP POS(VFD)
  • Archives
  • Contact us