TRA VFD Integration

TRA VFD Integration

As you may be aware, TRA has announced that beginning December 2020, All Tax Invoices must have a QR Verification Code.

It shall be important for your client to have your invoice with QR Code. We are pleased to inform you that SmartERP Platform can integrate directly with TRA VFD and obtain the verification code online, every time you raise a tax invoice.

Your Tax Invoice will have this verification code and a QR code after you fiscalise your Invoice. A major advantage of using this system is that it eliminates any human errors such as accidentally punching a wrong fiscal amount.

Furthermore, using this method, the verification code is stored against your tax invoice transaction, which means you can re-print a fiscalised invoice as many times as you wish, without accidentally re-fiscalising the same invoice again.

Below is the process for registering with TRA for VFD Integration.

1. You should write an application to the Commissioner of Domestic Revenue showing your interest in the said VFD integration.
2. You should mention the vendor’s name i.e. “Imatic Technologies Limited” who would be doing the integration on your behalf.
3. You should mention TIN in the document so as to identify the category you fall under, whether Large, Medium or Small.

Kama unafahamu, TRA imetangaza kuwa kuanzia Desemba 2020, ankara zote za mauzo lazima ziwe na Nambari ya Uhakiki ya QR.

Itakuwa muhimu kwa mteja wako kuwa na ankara yako na Nambari ya QR. Tuna furaha kukujulisha kuwa SmartPay ERP inaweza kujumuika moja kwa moja na TRA VFD na kupata nambari ya uthibitishaji mkondoni (online), kila wakati unapotoa ankara ya mauzo.

Ankara yako ya mauzo itakuwa na nambari ya uthibitishaji na nambari ya QR baada ya kulipia ankara yako. Faida kubwa ya kutumia mfumo huu ni kwamba huondoa makosa yoyote ya kibinadamu kwa mfano kuingiza kiasi isiyo sahihi kwa bahati mbaya.

Kwa kuongezea, kwa kutumia njia hii, nambari ya uthibitisho itakuwa imehifadhiwa dhidi ya ankara ya mauzo, ambayo inamaanisha unaweza kuchapisha ankara ya mauzo mara nyingi utakavyo kama mteja amepoteza ankara uliyompatia awali.

Hapa chini ni mchakato wa kusajiliwa na TRA kwa ujumuishaji wa VFD.
1. Unapaswa kuandika maombi kwa Kamishna wa Mapato ya Ndani (Commissioner of Domestic Revenue) kuonyesha nia yako katika ujumuishaji wa VFD.
2. Unapaswa kutaja jina la muuzaji yaani “Imatic Technologies Limited” ambaye atakuwa akifanya ujumuishaji kwa niaba yako.
3. Unapaswa kutaja TIN kwenye waraka ili kubainisha kategoria unayoanguka, iwe biashara kubwa, kati au ndogo.

To book a live demo, reach out to us on [email protected] or call us at +255 744 625 999.

Click here to download the TRA VFD Request Letter Format